Iwe kampuni ya faida, asasi isiyo ya faida, biashara, kikundi, shule, familia, mwanablogu, mjasiriamali, mtaaluma, kinyozi, msanii, bendi ama mtu binafsi, unahitaji sana tovuti rasmi.
Kwa kawaida, ili uwe na tovuti iliyo hewani na inafanya kazi unahitaji mambo muhimu MATATU hivi.
Tovutiyangu.com inakupatia namba 2 hapo juu BURE kabisa.
Ili uweze kupata namba 2 hapo juu BURE kabisa (kutengenezewa tovuti BURE), tunahitaji ununue kipengele namba tatu (hosting) hapa kwetu. Hosting hapa kwetu inaanzia Tsh 9000/= tu kwa mwezi na unaweza kulipia hosting yako kila mwezi ila kwa mara ya kwanza lazima ununue ya miezi mitatu.
Hatua ya 1.
Sajili kwanza jina la tovuti yako popote huduma hiyo inapopatikana. Ukishindwa kupata pa kusajili unaweza kusajili nasi, tunatoa huduma hiyo, nenda hapa.
Hatua ya 2.
Njoo hapa na ununue akaunti ya hosting ya tovuti yako. Maelezo zaidi hapa.
VIWANGO VYA VIDOGO VYA MALIPO YA HOSTING
| Kipindi | Bei katika Tsh | Punguzo/Okoa |
|---|---|---|
| Mwezi Mmoja | 9,000/- | 0% |
| Miezi 3 | 25,000/- | 8% |
| Miezi 6 | 50,000/- | 8% |
| Mwaka 1 | 99, 000/- | 9% |
Hatua ya 3.
Akaunti yako ya hosting ikiwa imeshasfunguliwa, sasa jisikie huru kututumia maelezo na picha za tovuti yako tarajiwa ili nasi tuanze kuitengeneza BURE kabisa kwa utaalamu wa hali ya juu. Kututumia maelezo nenda hapa.
Ili upate tovuti BURE inakulazimu ununue hosting kwetu.
ANUANI MAHSUSI ZA BARUA PEPE
Kisha tunakuwezesha kuwa na kuwa na anuani za barua pepe za domain hiyo yaani mfano malalamiko@sisiwananchi.co.tz.
Unaweza kuwa nazo nyingi upendavyo, kama familia yako ni ya kina masanja basi familia nzima mnaweza kuwa na baba@masanja.co.tz, mama@masanja.co.tz, mtoto@masanja.co.tz n.k. Unapofungua akaunti ya hosting tunakupa na hizi barua pepe.
TOVUTI IENDESHWAYO NASI
Vilevile kama una tovuti ila unakosa muda wa kuiendesha, unakosa muda kuirekebisha na kuiboresha uaweza kutupa sisi tukakuendeshea kadiri utakavyo kwa malipo madogo tu
HUDUMA NA BIDHAA HAPA TOVUTIYANGU.COM
Kama una tovuti tayari, ama baada ya kutengenezewa tovuti yako unaweza kujipatia bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu tu hapa kwetu. Angalia bidha zilizopo. Unaweza kutuagiza tukununulie bidhaa toka tovuti yoyote duniani.
Huitaji tovuti ya bure? Unaweza kuagiza isiyo ya bure.
Una muda zaidi, tafadhali tazama Huduma zetu zaidi
MSAADA
Kwa Msaada zaid longa na mhudumu wetu moja kwa moja hapa
Au unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 652 047 033
Karibu na jisikie huru kuwasiliana nasi