TovutiYangu.com
livechat
Hosting Payments Localized
Transfer Airtime to tiGo 0652 047 033

Rudi Nyuma | Msaada | English

ANUANI MAHSUSI ZA BARUA PEPE

Kisha tunakuwezesha kuwa na kuwa na anuani za barua pepe za domain hiyo yaani mfano malalamiko@sisiwananchi.co.tz.

Unaweza kuwa nazo nyingi upendavyo, kama familia yako ni ya kina masanja basi familia nzima mnaweza kuwa na baba@masanja.co.tz, mama@masanja.co.tz, mtoto@masanja.co.tz n.k. Unapofungua akaunti ya hosting tunakupa na hizi barua pepe.

TOVUTI IENDESHWAYO NASI

Vilevile kama una tovuti ila unakosa muda wa kuiendesha, unakosa muda kuirekebisha na kuiboresha uaweza kutupa sisi tukakuendeshea kadiri utakavyo kwa malipo madogo tu

HUDUMA NA BIDHAA HAPA TOVUTIYANGU.COM

Kama una tovuti tayari, ama baada ya kutengenezewa tovuti yako unaweza kujipatia bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu tu hapa kwetu. Angalia bidha zilizopo

Nyuma